Posts

Showing posts from August, 2017
>

The Interview With McTuya-Mussa 'Bongo Movie Actor'

Image

Evo Refto School Tour 2017:Uzinduzi wa Club Katika shule ya Jordan Sec S...

Image

Evo Refto School Tour 2017:Uzinduzi wa Club Katika shule ya Jordan Sec School JRC

Image
Evo Refto ni taasisi inayoshugulika na kuwasaidia vijana katika nyanja mbalimbali kpitia mafunzo kama vile -Kupata elimu ya ujasiliamali -Kupata elimu ya uongozi -kuhimiza wanafunzi kusoma kwa bidii -kufanya semina mbalimbali -kuinua vipaji vya vijana nakadhalika Hivyo basi Evo Refto wanafanya tour inayojulikana kama EVO REFTO SCHOOL TOUR 2017 ambapo wanatembelea shule 25 za jiji la Dar es salaam na kufungua matawi yao (Club) Tarehe 26 mwezi wa 8 Ilifanikiwa kufungua tawi lao katika shule ya Jordan secondary school iliopo kunduchi mtongani Dar es salaam. mapokezi yalikuwa vizuri na wanafunzi walifurahia ujio wa Evo Refto katika shule yao Kwa video na maeleo mengine utayapata katika channel yetu ya youtube.ponyeza link hii itakupeleka moja kwa moja kwenye video hiyo  https://youtu.be/zKTGaH1GFJo picha Shukran kubwa kwa Evo Refto The # Entertainment Uongozi wa Shule Ya secondary Jordan Tufollow kwenye mitandao ya kijamii Instagram @Fide...

Follow us on Instagram @TuyaTv

Image

Je Unapenda kuvaa mitoko ya Vitenge Au African prints? Basi hii inakuhusu

Image