KIJUE CHUO CHA AMENYE HEALTH TRAINING INSTITUTE
Amenye Health Training Institute ni chuo kilicho sajiliwa na serikali kupitia NACTE kutoa mafunzo ya afya katika fani za maabara kwa namba REG/HAS/134, na chenye walimu hodari na vifaa vya kisasa vya kufundishia, pia chenye mazingira mazuri ya kujifunzia. Chuo kinapatikana eneo la Iyela jijini Mbeya. chuo kinatoa kozi ya ngazi ya diploma na cheti, kwa muda wa miaka 2 kwa ngazi ya cheti na miaka 3 kwa diploma, kwa waombaji waliosoma tayari ngazi ya cheti (in service) ni muda wa mwaka 1. sifa za kujiunga ; Ngazi ya cheti i. kidato cha nne na kuendelea ii.awe na ufaulu kuanzia alama D kwenye masomo ya sayansi Biology, Chemistry, Physics,Mathematics,na English . Sifa za kujiunga ; Ngazi ya Diploma (pre-service) i. awe amefaulu kidato cha nne na kuendelea ii. ufaulu wa Biology-C , Chemistry- C , Physics -D, Mathematics-D na English-D Sifa za kujiunga ; Ngazi ya Diploma (in-service) i. awe amefaulu kidato cha nne na kuendelea ii. kwa waliomaliza kabla ya 2013 ufaulu wa s...
Comments
Post a Comment