>

Evo Refto School Tour 2017:Uzinduzi wa Club Katika shule ya Jordan Sec School JRC

Evo Refto ni taasisi inayoshugulika na kuwasaidia vijana katika nyanja mbalimbali kpitia mafunzo kama vile
-Kupata elimu ya ujasiliamali
-Kupata elimu ya uongozi
-kuhimiza wanafunzi kusoma kwa bidii
-kufanya semina mbalimbali
-kuinua vipaji vya vijana
nakadhalika
Hivyo basi Evo Refto wanafanya tour inayojulikana kama EVO REFTO SCHOOL TOUR 2017 ambapo wanatembelea shule 25 za jiji la Dar es salaam na kufungua matawi yao (Club)
Tarehe 26 mwezi wa 8 Ilifanikiwa kufungua tawi lao katika shule ya Jordan secondary school iliopo kunduchi mtongani Dar es salaam.
mapokezi yalikuwa vizuri na wanafunzi walifurahia ujio wa Evo Refto katika shule yao
Kwa video na maeleo mengine utayapata katika channel yetu ya youtube.ponyeza link hii itakupeleka moja kwa moja kwenye video hiyo
 https://youtu.be/zKTGaH1GFJo

picha









Shukran kubwa kwa
Evo Refto
The # Entertainment
Uongozi wa Shule Ya secondary Jordan

Tufollow kwenye mitandao ya kijamii
Instagram
@Fidel_lusambo
@TuyaTv
@Refto_Tz
@Mc_Tuya


https://www.facebook.com/TuyaTv

pia follow page yetu ya facebook Facebook.com/Tuyatv
VIdeo Shot And Edited By:Fidelis Lusambo

Comments

Popular posts from this blog

KIJUE CHUO CHA AMENYE HEALTH TRAINING INSTITUTE

PHONE ADDICTION