>

KIJUE CHUO CHA AMENYE HEALTH TRAINING INSTITUTE

Amenye Health Training Institute ni chuo kilicho sajiliwa na serikali kupitia NACTE kutoa mafunzo ya afya katika fani za maabara kwa namba REG/HAS/134, na chenye walimu hodari na vifaa vya kisasa vya kufundishia, pia chenye mazingira mazuri ya kujifunzia.
Chuo kinapatikana eneo la Iyela jijini Mbeya.





chuo kinatoa kozi ya ngazi ya diploma na cheti, kwa muda wa miaka 2 kwa ngazi ya cheti na miaka 3 kwa diploma, kwa waombaji waliosoma tayari ngazi ya cheti (in service) ni muda wa mwaka 1.

sifa za kujiunga ; Ngazi ya cheti
i. kidato cha nne na kuendelea
ii.awe na ufaulu kuanzia alama D kwenye masomo ya sayansi Biology, Chemistry, Physics,Mathematics,na English .

Sifa za kujiunga ; Ngazi ya Diploma (pre-service)
i. awe amefaulu kidato cha nne na kuendelea
ii. ufaulu wa Biology-C , Chemistry- C , Physics -D, Mathematics-D na English-D

Sifa za kujiunga ; Ngazi ya Diploma (in-service)
i. awe amefaulu kidato cha nne na kuendelea
ii. kwa waliomaliza kabla ya 2013 ufaulu wa somo la sayansi Biology-D na masomo mengine, waliomaliza baada ya 2013 ufaulu wa Biology D, chemistry-D, na D mbili za masomo mengine (hata kama siyo sayansi) pia awe na ufaulu wa G.P.A kuanzia 2.5 kwenye mitihani ya taaluma.

MAWASILIANO
Form za maombi zinapatikana chuoni au maombi yatapokelewa moja kwa moja chuoni na pia tunapokea kupitia website ya chuo www.amenyelabinstitute.com
email ya chuo amenyeinstitute@gmail.com
kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu namba
+255784200267| +255754434844| +255716751428

Comments

Popular posts from this blog

Evo Refto School Tour 2017:Uzinduzi wa Club Katika shule ya Jordan Sec School JRC

PHONE ADDICTION