Hii Dunia sio kama 'Mama yako' ambae hata ukimkasirikia, bado atakuita ule chakula. Hii Dunia itakuacha tu ushinde au ulale na njaa, na ikibidi ufe kabisa. Badilika, usiidekeze.
Amenye Health Training Institute ni chuo kilicho sajiliwa na serikali kupitia NACTE kutoa mafunzo ya afya katika fani za maabara kwa namba REG/HAS/134, na chenye walimu hodari na vifaa vya kisasa vya kufundishia, pia chenye mazingira mazuri ya kujifunzia. Chuo kinapatikana eneo la Iyela jijini Mbeya. chuo kinatoa kozi ya ngazi ya diploma na cheti, kwa muda wa miaka 2 kwa ngazi ya cheti na miaka 3 kwa diploma, kwa waombaji waliosoma tayari ngazi ya cheti (in service) ni muda wa mwaka 1. sifa za kujiunga ; Ngazi ya cheti i. kidato cha nne na kuendelea ii.awe na ufaulu kuanzia alama D kwenye masomo ya sayansi Biology, Chemistry, Physics,Mathematics,na English . Sifa za kujiunga ; Ngazi ya Diploma (pre-service) i. awe amefaulu kidato cha nne na kuendelea ii. ufaulu wa Biology-C , Chemistry- C , Physics -D, Mathematics-D na English-D Sifa za kujiunga ; Ngazi ya Diploma (in-service) i. awe amefaulu kidato cha nne na kuendelea ii. kwa waliomaliza kabla ya 2013 ufaulu wa s...
Evo Refto ni taasisi inayoshugulika na kuwasaidia vijana katika nyanja mbalimbali kpitia mafunzo kama vile -Kupata elimu ya ujasiliamali -Kupata elimu ya uongozi -kuhimiza wanafunzi kusoma kwa bidii -kufanya semina mbalimbali -kuinua vipaji vya vijana nakadhalika Hivyo basi Evo Refto wanafanya tour inayojulikana kama EVO REFTO SCHOOL TOUR 2017 ambapo wanatembelea shule 25 za jiji la Dar es salaam na kufungua matawi yao (Club) Tarehe 26 mwezi wa 8 Ilifanikiwa kufungua tawi lao katika shule ya Jordan secondary school iliopo kunduchi mtongani Dar es salaam. mapokezi yalikuwa vizuri na wanafunzi walifurahia ujio wa Evo Refto katika shule yao Kwa video na maeleo mengine utayapata katika channel yetu ya youtube.ponyeza link hii itakupeleka moja kwa moja kwenye video hiyo https://youtu.be/zKTGaH1GFJo picha Shukran kubwa kwa Evo Refto The # Entertainment Uongozi wa Shule Ya secondary Jordan Tufollow kwenye mitandao ya kijamii Instagram @Fide...
Comments
Post a Comment